Familia yako na za wengine zinatofautiana katika mambo yafuatayo
1.Wana muda na familia zao wewe ya kwako uko bize na wengine.
Ukirudi watoto wamelala
2.wana hakikisha wanaweza kuwa sehemu ya utatuzi wa familia zao wewe ndio chanzo cha matatizo.
3 watoto wa wenzio wanaiga kutabasamu kwa wazazi wao wanashuhudia upendo ninyi kwenu wanashuhudia UGOMVI ngumi .
4.za wenzako wanajifunza lugha mpya kwako lugha mpya matusi .
Eti nyie watoto wenu wataiga nini kutoka kwenu kama kila siku Ngumi basi tukubali masumbwi team kutoka kwenu !.
___________
Kama mtoto mwenye hekima humfurahisha Baba kwa nn wewe Baba usifocus kuimpact iyo hekima kwa mtoto ?
Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye.
MAMA huonekana wa thamani sana katika familia kuliko Baba hii ni kwa sababu wababa hawajitambui kama ni wazazi na wanaweza wakawa sehemu bora ya familia .
Wababa wengi hawana muda na familia zao lakini hili linaonekana kama ni kawaida si kawaida ni KUKOSA kuwa sehemu halisi kama MZAZI
Jiunge na masomo ya Julius Victor Mhina kwenye facebook yake hapa
No comments:
Post a Comment