Kuna hitaji jingine muhimu ambalo linamuathiri kila mtu.
HITAJI LA HABARI. KUSIMULIWA na KUAMBIWA.
Ni kitu ambacho kina uhitaji mkubwa na hakibadiliki tangu enzi za mababu zetu na hata kabla ya wao.
Toka michoro ya mapangoni (kondoa-Irangi ni mfano wetu mzuri) mpaka kuzungumza maneno kwenye lugha rasmi,kuandikwa vitabuni na zaidi.
Binadamu anataka habari,anataka stori, anataka maarifa.
Uhitaji umekuwa mkubwa sana.
Uhitaji umekuwa mkubwa sana.
Rafiki hapa inabidi ujue kwamba
Haijalishi umepitia mangapi ya kukatisha tamaa kwenye maisha yako.ama unefankkiwa kwa kiasi gani,ndani ya ubongo wako iko hazina kubwa sana.
Haijalishi umepitia mangapi ya kukatisha tamaa kwenye maisha yako.ama unefankkiwa kwa kiasi gani,ndani ya ubongo wako iko hazina kubwa sana.
Kuna mawazo ya mamilion ya pesa ambayo inatakiwa yawafikie watu.
Kuna mawazo na fikra ambazo zinatakiwa ziwafikie watanzania na ulimwengu.
Kuna mawazo ya kuwaunganisha watanzania,Kuwa unganisha wa Afrika na dunia nzima.
Mawazo yako yanaweza yakawa ndio yenye ufumbuzi wa matatizo yanahotusibu kwa muda mrefu.
Njia moja na ya pekee ya kutumegea mawazo yako nia kwa KUANDIKA TU.
Unaweza kuandika hata kitabu au makala mtandaoni.
Unaweza kuandika hata kitabu au makala mtandaoni.
Watu wengi huwa wanaona kuandika makala au kundika kitabu ni jambo gumu sana.
Najua hilo,ni hisia za kawaida. Lakini sio muhimu kwako kwa wakati huu.
Nazungumzia uthubutu na kuishinda hofu.
Muda unao wa kutosha.
Tuandike.Tuwaan dike. Tuyaandike.
Hashim || Keyswondertz
No comments:
Post a Comment