By Nelson Mandela
"Watu maskini,hawawezi kulipa kodi serikalini na kwenye mamlaka ya mitaa.
Tunalima,tunazalisha mashambani,viwandani,madini kwa kulipwa mshahara ambao kesho ukisimamishwa kazi hujui utaishije.
Kwa nini tuendelee kutii na kuwasaidia wezi wa mali zetu,jasho letu na damu zetu?
Wale wanaotunyonya na kuvuruga jumuia za wafanyakazi kwa vitisho,rungu na mabomu?
Nimejulishwa kuwa ninatafutwa,nitakamatwa.
Wanasiasa makini,walionuia na makini, watagundua kuwa,kipindi hichi tulichonacho nchini,kujipeleka polisi mimi mwenyewe ni ujinga na nikosa la jinai.
Tunampango, nilazima tuutimize haraka iwezekanavyo bila kuchelewa.
Nimechagua,kujitoa mhanga,kuhatarisha maisha yangu,na machungu ninayotaraji.
Nitatengana na mke,watoto na wazazi wangu na kuishi nikiwa kifungoni.
Nitaacha biashara zangu,shughuli zangu,na taaluma yangu,niishi katika umaskini,na shida zote kama wananchi wangu wanavyoishi.
Nitapambana na serikali hii dhalimu kona hadi kona na ninyi,inchi na inchi,maili na maili,hatua kwa hatua hadi ushindi hadi ushindi upatikane.
Wapi mtasimama?, mtaiunga mkono serikali iendelee kutuua,kutesa,kunyanya na kutukandamiza?
Au mtakaa kimya,na kubaki katikati katika mambo muhimu ya uhai na kifo kwa watu wangu?
Katika chama changu na binafsi mimi ninalo chaguo,
Sitakimbia polisi,wala sitaondoka Afrika kusini,na wala sitakubali kuachia ngazi.
Ni katika machungu haya,kujitoa muhanga,na mbinu za kivita, uhuru utapatikana.
Kupambana ni sehemu yangu,nitapambana ,ili kupata haki ya usawa wa sheria,haki mahakamani,mwanasheria,na watendaji ktk usawa.
Haki zote na tunu zote, usawa mbele ya sheria,haki za huduma za jamii kama elimu,afya na nyumba bora zote zimetwaliwa na wazungu,hakuna tunachofurahia bali tumebaki kuwa watazamaji."

No comments:
Post a Comment