Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, July 18, 2017

UHURU WA KUFIKIRI NA FIKRA HURU

Hebu ONA "Jasmini anasema kuwa baba yake ni katili.
Huo ni Uhuru wa kufikiri wa Jasmini
Je watoto wengine wanaPokeaje maoni ya Jasmini.kuhusu baba yao
Wana hiari ya Kukubaliana na Jasmini ama kuwa na maoni tofauti kuhusu baba yao kadri wamjuavyo na asili ya tuhuma za Jasmini
Yaani uwe na fikra huru kuhusu Uhuru.wa fikra
Tuendelee....
Takribani miongo kadha tumekuwa ni watu wa kuomba,japo siku moja Tanzania yetu.Ipate kiongozi ambaye ni mzalendo.atakayeweka mbele maslahi taifa
Pasipo kutanabaisha kama kiongozi wa aina hiyo tumempata au laa
Kitu cha msingi
Je tupo tayari KUPOKEA kiongozi mzalendo?
Kwa Nini
Kwa mtazamo wangu akitokea MTU akaamua kupambana na kila aina ya udhalimu uliomea katika taifa letu sharti tuwe wavumiluvu.
Je TUMEJIANDAA KUVUMILIA ,MAUMIVU ya MWIBA WA SUMU UNAOTOLEWA MWILINNI MWETU ?
Kama ni ndiyo basi tupo tayari kuwa na kiongozi mzalendo.
Hapa lazima tukubaliane na ukweli nchi hii iliozeshwa,
Machungu tutayoyapata katika kipindi.hiki cha kujikwamua si ya kawaida.
Kutokana na maumivu hayo kutugusa iwe kwa moja kwa moja ama kwa kupitia
Hapo sasa ndio kila.MTU. atakuwa na cha kusema
Uhuru wa fikra ndio utapAmba moto.
Lakini wajuvi hao wakiendelea kutoka fikra zao ,tusije tukajisahulisha kuwa na sisi.Fikra zetu zipo huru hivyo sio lazima kukubali ama kukataa tunachosikia,inatubidi tupambanishe kati ya kinachozungumzwa,kilichokuwepo na kinachofanywa.
Tukiwa ni watu.wa kubeba tu maneno ya watu ambayo hatujui wametumwa na nani,hii nchi hata huyo nyerere Aaamke kesho,na awe kiongozi Tutamchukia.

Tuendelee kuwaombea viongozi wote wenye nia njema na Taifa Hili.

No comments:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages