Breaking

Post Top Ad

Wednesday, January 17, 2018

JIPAMBANUE

jipambanue kadri uwezavyo na bado watu wanaweza wasikuelewe wape muda wape nafasi na bado hawatataka kukuelewa pia
watakuelezea na kukuchambua kadri uwezo wa akili zao utakavyoruhusu
wapo watakaokupenda na kukusifia
watakaokuchukia na kukukashifu

muhimu ni kutambua kwamba unahitaji motisha ili kufanikisha ndoto zako
ila mafanikio yako ili yawe ya ushindani na yenye kudumu zaidi unahitajia watu wa kukukatisha tamaa mara kwa mara
toa nafasi sawa kwa kila mtu alie amua kuwa na wewe katika safari ya maisha yako
bila kujali anakupenda ama anakuchukia

LikeShow more reactions
Comment
Comments
Bray Salehe
Bray Salehe One luv br
Manage

LikeShow more reactions
· Reply · 4w
Issa D Majala
Issa D Majala Hakuna linaloshindikana ktk iimaan.
Manage

LikeShow more reactions
· Reply · 4w

Post Top Ad

Pages