Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, September 15, 2018

CHAGUA RAFIKI WA MAFANIKIO YAKO.



Mengine yanatekelezeka mengine hayatekelexeki.
Unafanya mamia ya maamuzi kila siku baadhi yanakuwa mazuri kuliko mengine
Lakini kwa kuchukua huu ushauri ni moja ya maamuzi muhimu ambayo utakuwa umechukua katika maisha yako yote ya mafanikio.
KUNA sababu moja muhimu yenye nguvu ambayo inasimama kushinda zingine.Ndio itakayokupa nguvu na uwezo wewe kufanya hivyo.
Kitu peke muhimu ambacho unatakiwa kufanya ni kutafuta rafiki au mtu mzuri,mtu mwenye mawazo chanya,mtu mwenye matumaini na kujiamini na mwenye kupenda kutumia muda wa maisha yake na wewe.
Huu ndo ushauri pekee utakao hitaji katika maisha yako kwa sasa.
Kama hutaweza kutafuta hata mtu mmoja,basi tumia muda wako kujumuika na watu amabo unaweza jifunza kitu toka kwao. Watu watakaokupa habari za wewe kuwa shujaa.
Binafsi huwa najiuliza maswali pindi ninapijumuika na watu.
"Je huyu flani anaweza kunibadili na kuwa mtu bora,mtu makini na kuniondolea hofu"
Unakutana na kujumuika na watu wa aina tofauti kila siku Watu wengine wanaweza kuwa ni muhimu. Lakini wanaweza wakawa sio muhimu kwa ajili yako.
Hivi ni vitu amabavyo vinashabiliana kabisa.
lazima uwe mwangalifu kuchagua mtu atakae kuwa rafiki kwako,rafiki atakae INSPIRE maisha yako.
Jiepushie gharama sisizo za msingi gharama ya muda gharama ya kupoteza nguvu na maumivu mengine ya so ya lazima kwa kuwa tu na watu amabo sio sahihi kwako
Ukienda kwenye mikusanyiko,na matukio mbalimbali jitahidi ubebe TAKEAWAY kwa matumizi yako ya baadae. TAKEAWAY NI kujifunza chochote kutoka kwa watu uliokutana nao.
Sahau vyote ila tafadhali . Tengeneza ndoto na fikiria kuhusu mtu sahihi wa kuwa nae.
Kuwa karibu na huyo mtu.
Kuwa na nidhamu/mnyenyekuVu kwake.
Kuwa wapende kuwa na wewe.
Utakapowapata .kaa nao. Pambana usiwapoteze kama umebeba mfuko wa dhahabu
Naamini Utaishi kwa furaha sana pindi utakapokuwa umezungukwa na watu muhimu kwako.
Yawezekana baadhi ya mambo yako yanakuwa mgumu kwa sababu bado hujajua mtu muhimu kwako.
Anza kujitengenezea timu ya ushindi mapema.
Nakuahidi katika kutimiza adhima yako hii sitokubali uwe mpweke.
• Nimekukusanyia watu sahihi wenye maneno chanya watakaokufanya maisha yako yawe ya furaha kila siku.
• Nimekukusanyia mawazo yanayozungumzia mafanikio.
• Nimekuandalia stori na zenye mifano hai zitakazo ibua ari ya mapambano yatakayokufikisha kilele cha mafanikio yako.
• Nimekuandalia jumuiya ya watu waliothubutu na wanasheherekea mafanikio yao.
• Na zaidi ya hapo tegemea kupata vitu zaidi ya ahadi nilizotoa.Na ambavyo hujawahi tegemea.
Jiunge hapa=> whatsapp BONGOBrilliant
Official DAILY INSPIRATIONS
Brodcasting skills & knowledge
Get the best tricks and MIND Settings

No comments:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages