•umepata muda wa kubaini vipingamizi vitakavyoweza kukuzuia kuufanya huu mwaka kuwa bora kwako.
•ushatenganisha tabia/mienendo yako kati ya ile inayoweza kukunyanyua na inayoweza kukuangusha ?
•umefanya chochote kwa ajili ya kujilinda na matokeo mabaya kwako na kuongeza nafasi ya ushindi ?
______________________
Usihofu.Nimekupa ufunguo kidogo tu kuhusu hili.
______________________
Kitu pekee unachotakiwa kujifunza na kutilia maanani ni siri iliyopo nyuma ya kila fanikio au kushindwa kwako unakopitia kwenye maisha.
Tambua sababu zilizokufikisha hapo ulipo.
Usisahau maswali yangu hapo juu. Ni kwa ajili yako.
__________
No comments:
Post a Comment