My Dear;
Kwenye kazi lazima tuwe wachapakazi hasa tunapotaka kusonga mbele zaidi.
Japo ya kuwepo msongo wa mawazo na changamoto za hapa na pale za MWAJIRI na MWAJIRIWA au MTEJA na MUUZAJI
Kwenye kazi lazima tuwe wachapakazi hasa tunapotaka kusonga mbele zaidi.
Japo ya kuwepo msongo wa mawazo na changamoto za hapa na pale za MWAJIRI na MWAJIRIWA au MTEJA na MUUZAJI
Nyumbani,huwa tunakutana na changamoto nyingi pia hasa zinazohusu maamuzi ya kifamilia na mahusiano.
Kiuhalisia tunapigania AMANI ya kweli , usawa haki na furaha ya maisha.
Pamoja na hayo yoye lakini ni nini kinatufanya tuendelee kuthubutu ?
Ni nini kinatufanya kupigania malengo yetu na kushinda changamoto zote hizo?
OUR BRAIN.
Nguvu na uwezo wa kutumia bongo zetu ndio kitu peke kinachotufanya tupige hatua moja,mbili au tatu zaidi na kuipa uwezo mipango,fikra zetu kuwa imara zaidi ya changamoto.
uwezo wako wa kupanga na kuendeleza
-> malengo yako
-> kufikiria kuhusu watu wa kukushauri na
-> Kukubali changamoto
Leo ndio utapanga kesho yako.
-> malengo yako
-> kufikiria kuhusu watu wa kukushauri na
-> Kukubali changamoto
Leo ndio utapanga kesho yako.
Sisi wenyewe lazima tutengeneze hoja za kutukwamua. Kwenye mkwamo wowote ule.
Wewe ndio mtu pekee wa kutambua na kuandaa kesho yako iweje.
Hakuna wa kukufikiria wala kuifikiria kesho ya mtu mwingine.
Isipokuwa wewe mwenyewe.
Isipokuwa wewe mwenyewe.
Mafanikio mema
No comments:
Post a Comment