Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, January 17, 2018

MTOTO NI WA MAMA NA BABA

mtoto akiwa mdogo ni wa baba
ila akikua nia wa mama
ushahidi mdogo tu.
ikikosekana lishe mavazi na ,malazi ya mtoto lawama atapewa baba na sio mama
mtoto akikua zawadi nyingi atapewa mama,
umbea mwingi atapewa na mama na hata kupelelkea kumchukia baba
,mapenzi mengi atapewa mama
malezi ya mama yenye kujikweza yeye zaidi kuliko kuweka usawa kati ya wazAzi waote wawili yataonesha mama ni muhimu zaidi kuliko baba .
muda mwingine hata zile fedha alizokuwa akipewa mama na baba ili akupe wewe zitaitwa ni za mama aliuza vitumbualili akulee wewe.
ili upate pocket money na karo ya shule
watoto wengi leo hawajui baba zao au hawana maelewano mazuri na baba zao kwa asababu tu ya mama.
baba zetu tunaambiwa ndio chanzo cha wao kuachana na mma zetu.
sio kwamba wao hawana makosa hapana nia kwa sababu wanaume hatupendi kuongea ongea kama wao
baba akirudi nyumbani kachelewa akiwa kalewa ,mtoto ataambiwa ona baba yako kalewa,hakumbuki hata familia yake.
lakini hata sema kwa nini baba hana tabasamu na yeye ndio furaha yake.
hatothubutu kusema kabisa kwamba jana alimnyima haki yake ya ndoa ndio sababu ya baba kuchelewa kurudi nyumbani akiwa amelewa.
watoto tunajengwa na tunajengeka
imefikia wakati sasa wazazi wa kike mjirekibeshe kwenye hili
kuna faida gani kumjenga mtoto kumchukia baba yake.au kutomuonesha baba yake
UPUUZI.
R.I.P MAMA yangu mapema sana alishaniambia wapi baba yangu anapatikana namba za simu mpaka mtaa anAoishi
waliachana kabla sijazaliwa lakini hakuana sifa yoyote mbaya kuhusu baba yangu niliyoambiwa.
SIO kwamba hazikuwepo ila alitambua kuwa kuzipanda kwangu sio pahala kwake.
watoto tunawajibu wa kuonesha upendo sawa kwa wazazi wetu wote wawili kwani hakuna malaika kati yao.
Keyswondertz
VASCO DA KEYS

LikeShow more reactions
Comment
Comments
Shaban Twalbu
Shaban Twalbu Jamanii Hashimuu huyooo
Manage

LikeShow more reactions
· Reply · 2w
Issa D Majala
Issa D Majala umenena mazur kwakwel, yaliyomo ndan ya jamii.
Manage

LikeShow more reactions
· Reply · 2w
Julius Victor Mhina
Julius Victor Mhina Aisee ongera kwa kuaga na mama wa ivyo
Manage

LikeShow more reactions
· Reply · 2w
Bray Salehe
Bray Salehe God blez u Br
Manage

LikeShow more reactions
· Reply · 2w

No comments:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages