Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, January 17, 2018

BINADAMU NA MIMI

Usiruhusu BINADAMU
>wachezee mwili wako
>wavuruge ubongo wako
>waumize moyo wako
***********
baki na MWILI wako kama hawataki kufuata taratibu
**********
tuliza UBONGO wako ONJA,TAZAMA na SIKILIZA kwa makini kisha njoo na maamuzi yako mwenyewe.
usikubali kelele za watu ziharibu kiini cha lengo lako.
**********
usikubali MOYO wako kiwe chombo cha kuhifadhi CHUKI dhidi ya wengine
na uwe na ujasiri wa kufuata kile kilichomo ndani ya moyo wako
**********

LikeShow more reactions
Comment
Comments
Mhina Kaduguda
Mhina Kaduguda Nimekuelewa sana2
Manage

LikeShow more reactions
· Reply · 2d
Issa D Majala

LikeShow more reactions
· Reply · 2d
Hashim Keyswonder

LikeShow more reactions
· Reply · 1d
Justus Wily

LikeShow more reactions
· Reply · 1d

No comments:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages