Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, January 17, 2018

SURA ISIWE SABABU

sura au ngozi ya mtu isiwe sababu ya wewe kujiweka karibu au mbali nae
watu wenye vitu muhimu [maarifa,ujuzi nk ] / msaada kwenye maisha yako.wape kipaumbele zaidi.
muda mwingine hatufikii ndoto zetu kwa sababu tumeamua kumfurahisha au kumchukia kila mtu
kuna wakati tunahitaji kujenga ua kuvunja urafiki na watu flani flani ili kufikia malengo yetu.
........

LikeShow more reactions
Comment
Comments
Neema Rajabu

LikeShow more reactions
· Reply · 3w
Mbangwa Abilah
Mbangwa Abilah Kidole na macho kaka
Manage

LikeShow more reactions
· Reply · 3w
Gavana Mungiki

LoveShow more reactions
· Reply · 3w
Hashim Keyswonder
Hashim Keyswonder Mbangwa Abilah usiogope sio bunduki hiyo tuseme eti kitatoa risasi
Manage

LikeShow more reactions
· Reply · 3w

No comments:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages