unahuhudhuria semina nyingi sana za akina ERICK SHIGONGO (MENTORS), zote zinakushawishi ujikubali kuwa wewe ni nani na unaweza kufanya kitu flani.
UNATUMIA MUDA MWINGI na utulivu wa hali ya juu lakini bado huwaelewi.
ila kuamini kuwa wewe ULIKUWA NYANI haikukusumbua sana.JUST DAKIKA TANO TU ZA MWALIMU WA HISTORY ZILIKUTOSHA.
No comments:
Post a Comment