Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, December 25, 2017

watu wenye vitu muhimu

Image may contain: 1 person, closeup
sura au ngozi ya mtu isiwe sababu ya wewe kujiweka karibu au mbali nae
watu wenye vitu muhimu [maarifa,ujuzi nk ] / msaada kwenye maisha yako.wape kipaumbele zaidi.
muda mwingine hatufikii ndoto zetu kwa sababu tumeamua kumfurahisha au kumchukia kila mtu
kuna wakati tunahitaji kujenga ua kuvunja urafiki na watu flani flani ili kufikia malengo yetu.
........some text missing

No comments:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages