Akili nyingi zimekariri kuwa Januari ni mwezi mgumu kifedha
Ni Akili adimu tu ndio zinatambua kuwa
mwezi/wakati wowote ujao utakuwa mgumu kama hakutakuwa na mipango /mikakati ya kudhibiti matumizi ya fedha kwenye mwezi/wakati huu uliopo
Ni Akili adimu tu ndio zinatambua kuwa
mwezi/wakati wowote ujao utakuwa mgumu kama hakutakuwa na mipango /mikakati ya kudhibiti matumizi ya fedha kwenye mwezi/wakati huu uliopo
kodi ya nyumba sio tukio la kushtukiza
januari shule zinafunguliwa sio tukio la kushitukiza pia
25 Desemba sio tarehe ya kushtukiza, ipo kwenye kalenda tangu januari
chagua mwenyewe
matukio yakuendeshe wewe
au
wewe uyaendeshe matukio
🤔🤔🤔
THINK TWICE ,SPEND RESPONSIBILY

No comments:
Post a Comment