Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, December 25, 2017

HASIRA ZANGU KWA WANOJIUZULU UBUNGE

unakuta jitu limepewa ushirikiano wa kutosha kwenye mikutano yake ya kisiasa 2015
viongozi wa juu wakatoa ushirikiano
wananchi tukakaombwa ushirikiano tukatoa pia
hili jitu lilikuwa linatuahidi linakuja mkutanoni saa sita likaja saa11
tukalipigia makofi na mbinja japo liliongea utumbo
lenyewe limesimama kwenye hema sisi tumesongamana juani
likaomba tulipigie kura
tukalipigia
likaomba tulinde kura ,
hakuna kazi ngumu kama kulinda kura
tukalinda
jasho damu na machozi yalitutoka kawa ajili yake.
leo limesahau kabisa kirahisi tu linasema
eti
NIMEJIUzULU UBUNGE
kwa nini usisubiri mpaka 2020,ndio uhame chama
ANNA TIBAIJUKA HAMJAMSIKIA,JIFUNZENI
unajua kabisa dhamana ya ubunge wako ni kuwa mwachama wa chama cha siasa.
wewe unahama tu
huwazi wapiga kura wako waliokutuma pale dodoma
unaangalia tumbo lako
unawaza kiki kuliko maendeleo
#kwaniniNikusamehe
tupambanie
#katibampya
ituondolee huu uhusiano wa kuwa mwanachama wa chama cha siasa na ubunge

No comments:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages